Mkimbia Riadha wa Sudan Kusini alinusurika kuuwawa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe na pia alipoteza watu 28 katika familia yake huku akitekwa mara Mbili.
 |
Guor Marial alitoroka utumwa sudan na sasa kuiwakilisha sudan kusini kwenye mashindano ya kukimbia ya olympiki.
|
Aliwasili Marekani Kama mkimbizi kipaji chake kiligunduliwa na walimu ambao walimpa moyo wakuendeleza kipaji chake .
Mwaka huu Marial ataongoza timu ya sudani kusini katika Joto la Maracana kama mbeba bendera wa nchi yake .Akizungumzia safari yake ndefu na upendo kwa nchi yake amesema'Kusimama mstari wa mbele huku nikiwa nimevaa vest ya nchi yangu ni kitu kizuri kwangu'.
 |
Marial amepewa heshima ya kupeperusha bendera ya Taifa lake la Sudani kusini.
|
No comments