Header Ads

Je Bifu kati ya Trump na Obama bado linaendelea,?Tazama picha Tatu kutoka White House.

Kwa mara ya kwanza raisi mteule wa Marekani Donald Trump alialikwa white house na Raisi Barack Obama kwa mazungumzo mafupi.Lakini chakushangaza ni muonekano wa picha ulivyokuwa kuna baadhi ya sehemu ilionekana kama Hakukuwa na Tabasamu lolote kwa pande zote mbili.

Mfanya Biashara huyo tajiri ambaye sasa ni Raisi Mteule kwa muda mrefu alitilia shaka uhalali wa Rais Obama kwamba alizaliwa Hawaii,na Raisi Obama alimkejeli hadharani.
     Donald Trump anaonekana yupo mbali kimawazo wakati akiongea na Raisi Barack Obama.


           Wakati wa Kupeana mikono inaonyesha kila mmoja akiangalia upande wake


No comments

Powered by Blogger.