Leo Aug 21,2016 Mtanzania mbwana samata ameendelea kufanya vizuri kwenye ligi ya Ubelgiji maarufu kama Jupiler League,baada ya kufunga magoli mawili mnamo dakika ya 34 na 35 ya kipindi cha kwanza.Huu ulikuwa ni mchezo wao wa nne wa ligi kuu ya Ubelgiji dhini ya Lokeren katika uwanja wa Diknam unaotumiwa na Timu ya Lokeren kama uwanja wao wa nyumbani.
No comments