Header Ads

Manchester city Haiwezi kuchukua ubingwa wa Epl wala Uefa champions league.

Kocha wa Manchester city amesisitiza kwamba Timu yake bado haijawa vizuri kuweza kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya uingereza au wa ligi ya mabingwa ulaya.

Machester city ilifanikiwa kuibuka na ushindi dhini ya m,ahasimu wao Manchester united juma mosi iliyopita na kuweza kupata ushindi wa sita katika mechi sita mfululizo na Magoli 17 katika utawala wa Guardiola.

Kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa kundi C kwenye ligi ya mabingwa ulaya siku ya jumanne dhidi ya Borussia Monchengladbach katika uwanja wa Etihad Guardiola amesema "ili kuwa katika kiwango juu inatakiwa kuboresha vitu vingi sana."
Manchester city imeshinda mechi sita mfululizo chini ya Guardiola ikifunga jumla ya mabao 17 katika mechi zote.

No comments

Powered by Blogger.