Header Ads

Barua Ya Mwalimu Nyerere aliyoiandika kwa mkuu wa shule ya pugu ili kujiuzulu ualimu na kushiliki siasa mwaka 1955.

Barua ya kujiuzulu ya Mwalimu Nyerere aliyomwandikia aliyekuwa mkuu wa shule ya sekondari ya pugu Father Lynch ,mwezi march 1955.Mwalimu Nyerere alijiuzulu ualimu ili kushiliki rasmi siasa.

No comments

Powered by Blogger.