Header Ads

VIDEO : Harmonize na Wolper mapenzi moto moto.

Hivi Karibuni Staa wa bongo fleva anayetokea katika Label ya WCB alifanikiwa kuingia kwenye headlines baada ya kuingia kwenye mapenzi na Mrembo wa bongo Movie Jackline Wolper ,na kuweza kubamba mitandaoni.Hapa chini mtu wangu unaweza kutazama video inayoonyesha wapendanao hao wakiendelea kula bata na kuthibitisha kwamba penzi lao bado ni moto moto

No comments

Powered by Blogger.