Header Ads

MICHEZO

 

Jose Mourinho amepata kipigo cha kwanza akiwa kama kocha wa manchester united dhidi ya Borushia Dortmund katika mchezo wa kirafiki uliofanyika shanghai.stadium.

Katika kipindi cha kwanza borushia dortmund walikuwa wakiongoza kwa magoli mawil kwa sifuri yaliyofungwa na Gonzalo castro mnamo dakika ya kumi na tisa na lingine likifungwa kwa mkwaju wa penati na mshambuliaji kutoka Gabon  Pierre - Emerick Aubameyang dakika ya 36.Na baadae katika dakika ya 57 Ousmane Dembele alifunga bao la tatu baada ya kukimbia na mpira kwa umbali mrefu na kupiga shuti kali lililomshinda mlinda mlango Sergio Romero.

Manchester united ilipata bao lake pekee la kufutia machozi mnamo dakika ya 59 kupitia kiungo waliemsajili msimu huu kutoka Borushia Dortmund Henrik Mkhitaryan  na baadae kabisa katika dakika ya 86 gonzalo castro akaiandikia Dortmund goli la nne na kufanya Matokeo kusomeka  
  Meneja wa zamani wa chelsea akijitahidi kuhamasisha timu yake mpya kupata ushindi lakini baada ya dakika tisini wakafungwa.

No comments

Powered by Blogger.