Header Ads

Picha za Mchezaji wa Everton Morgan Schneiderlin akiwa katika mbuga za Tanzania.

Mchezaji wa club ya Everton Morgan Schneiderlin ameingia katika Orodha ya Mastaa wa soka walifanikiwa kuja kutalii Tanzania kwa mwaka 2017 ,akitanguliwa na David Beckham,Mamadou Sacko na Christian Ericksen,Kwa sasa Scheneiderlin na mkewe wapo hapa nchini Tanzania wakiwa wanasheherekea fungate.

Nimekuletea picha kadhaa mtu wangu,ili uweze kuona nyota huyo wa zamani wa Club ya Manchester united anavyokula bata akiwa Tanzania
Schneiderlin akiwa na Masai nchin Tanzania.
Mke wa Morgan Schneiderlin ambaye ndiye amekuja kusheherekea fungate na mumewe




No comments

Powered by Blogger.