Raisi Magufuli Atengua na Kufanya uteuzi mwingine leo tarehe 18 Aug 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo tarerhe 18 Aug 2016 amemteua Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa mkoa mpya wa Arusha baada ya kutengua uteuzi wa Felix Ntibenda. Gambo ataapishwa Kesho August 19,2016 Ikulu Jijini Dar Es Salaam na Ntibenda atahamishiwa ofisi ya waziri mkuu kwa ajili ya Kupangiwa majukumu mengine..
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo.
No comments