Arsenal yapigwa marufuku kumsajili mchezaji huyu wa liverpool.
Club yoyote ya soka duniani inaweza kumnunua mshambuliaji wa liverpool Robert Firmino ikiwa tu itakuwa tayari kuvunja mkataba kwa paun 82 ,Ila imekuwa tofauti kwa Arsenal ambapo katika mkataba wa firmino na liverpool wamekubaliana ni marufuku kwa mchezaji huyo kwenda Arsenal hata kwa kiasi chochote kile cha pesa.
Robert Firmino (Kulia) anaweza kusajiliwa na club yoyote isipokuwa arsenal.
No comments