Majina saba aliyopendekeza Diamond Platnumz kwa mtoto wake wa pili.
Mtoto wa kiume wa Diamond platnumz aliyezaliwa leo Dec 6,majira ya alfajiri huko pretoria.
Leo Tarehe 6 Dec 2016,ilikuwa ni siku ya furaha tena kwa Mbongo flever Diamond platnumz na Zarina Hassan Maarufu kama Zari the boss lady baada ya kupata mtoto mwingine.Na safari hii amekuja mtoto wa kiume kwa hiyo tiffa amepata Kaka. Mtoto huyo amezaliwa katika hospitali ya netcare Pretoria South Africa.
Diamond amepost kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo facebook kuwa anaomba mashabiki zake wamsaidie kumchagulia jina la mwanae na haya ni majina saba aliyoyachagua yeye kwa ajili ya mashabiki zake kuchagua RAMIA....NILLAN... LANIER.... AKRAM
RAHUL...RIAZ..... DYLAN...

No comments